#Girls

Wakulima Wa Miwa Kaunti Ya Kwale Wanahofia Mioto Ya Kila Mara Shambani



Wakaazi Wanaoishi Maeneo Ya Nikaphu,Kiranze,Nguzo,Kanana Na Kibiboni Na Mabao Pia Ni Wakulima Wa Miwa Kaunti Ya Kwale, Wanalalamika Kuhusu Mikasa Ya Moto Kwenye Mashamba Yao Ya Miwa.. Wakaazi Hao Wanasema Kuwa Mikasa Hiyo Ya Moto Inahatarisha Maisha Na Mali Yao.. Sasa Wanaitaka Serikali Kuchunguza Na Kuhakikisha Wanaosababisha Mioto Hiyo Wanatiwa Mbaroni Na Kufunguliwa Mashataka..